Siku ya 13: Kujitolea Kuongezeka, Kukabidhiwa Kikamilifu, na Upatikanaji Kamili
Hakuna watu maarufu katika ukumbi wa imani wa mbinguni. Waebrania 11 si orodha ya watu maarufu. Ni rekodi ya wanawake na wanaume wa kawaida waliomwamini Mungu kikamilifu. MVANA MASKINI ASIYEJULIKANA (Mathayo 14:13–21,
